Inland Radio ni kituo cha redio cha Kikristo kinachotoa huduma katika Mkoa wa Mwanza.
Kimeanzishwa na Kanisa la Africa Inland Church Tanzania (AICT) na kinapatikana kwenye mawimbi ya 93.3 Mhz Mwanza, 96.3 Mhz Simiyu, na 100.3 Mhz Shinyanga.
Inland Radio inajitahidi kueneza ujumbe wa injili na kutoa maudhui ya kiroho kwa jamii.